Posted By Posted On

Photos from Maulid Kitenge’s post

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakary Kunenge leo amefanya ziara ya kushtukiza ya kuvamia kurasa za Magazeti za Chumvi na Ndimu za @wasafifm na kusema wazi yeye ni Msikilizaji Mkubwa wa Kurasa za Magazeti na anavutiwa na Chumvi na Ndimu @zembwela ndio maana akaamua avamie awasalimie kwa kuwashtukiza.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *