Posted By Posted On

“Tunategemea mchezo utakuwa mgumu Azam FC ni timu bora na tumelingana pointi kwa hiyo kila timu ingependa kupata ushindi ili kuk…

“Tunategemea mchezo utakuwa mgumu Azam FC ni timu bora na tumelingana pointi kwa hiyo kila timu ingependa kupata ushindi ili kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu. Sisi tumejipanga vizuri na lengo letu ni kupata pointi zote tatu. Tutawakosa wachezaji wawili Haruna Niyonzima ambaye ni majeruhi pamoja na Abdulaziz Makame mwenye matatizo ya kifamilia,

-Cedric Kaze, Kocha Mkuu wa timu ya Yanga SC.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *