Posted By Posted On

⚫️ @yangasc katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu: 🏟 Mechi 17 ✅ ushindi 13 🤝 Sare 4 ❌ kupoteza 0 ⚽️ Mabao ya kufunga 28 🥅 Ma…

⚫️ @yangasc katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu:

🏟 Mechi 17
✅ ushindi 13
🤝 Sare 4
❌ kupoteza 0

⚽️ Mabao ya kufunga 28
🥅 Mabao ya kufungwa 6
🧤 cleansheets 11

📈 Pointi 11 mbele ya Simba.

Wataweza kufuata nyayo za Simba na Azam kumaliza msimu bila kupoteza mechi?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *