Posted By Posted On

SIMBA SC WAREJEA DAR TAYARI KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDINO DHIDI YA FC PLATINUMS JANUARI 6


KIKOSI cha Simba SC kimerejea leo Dar es Salaam kutoka Zimbabwe ambako Jumatano walichapwa 1-0 na wenyeji, FC Platinums jana Uwanja wa Taifa wa Harare katika mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa.

Simba SC inaelekeza nguvu zake katika mchezo wa marudiano Januari 6 Uwanja wa Mkapa – ikihitaji ushindi wa 2-0 ili kuingia hatua ya makundi.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *