Posted By Posted On

πŸ‡«πŸ‡· Sakho: “Baba yangu alifariki nikiwa na miaka 13, baada ya baba kufariki nilibeba majukumu ya kuisaidia familia yangu, sikuw…

πŸ‡«πŸ‡· Sakho:

“Baba yangu alifariki nikiwa na miaka 13, baada ya baba kufariki nilibeba majukumu ya kuisaidia familia yangu, sikuwa na chaguo lingine ziadi ya kucheza mpira, kuna mtu aliwahi kuniuliza kama kulikuwa na ugumu wowote kuwa nahodha wa kikosi cha PSG U17, Nilimjibu kuwa kwangu mimi haukukuwa na ugumu wowote, kwangu mimi ugumu ulikuwa pale nilipokuwa nahodha wa familia yangu wakati nikiwa na miaka 13”

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *