Posted By Posted On

Aliyekuwa kiungo wa Simba SC Tanzania Mbrazil Gerson Fraga Viera amekutana na nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Bebeto …

Aliyekuwa kiungo wa Simba SC Tanzania Mbrazil Gerson Fraga Viera amekutana na nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Bebeto Sautheir na kumpatia zawadi ya jezi ya klabu ya Simba,

“Ni furaha kuona rafiki kubwa kuona rafiki yangu mkubwa kupokea jezi yenye historia kubwa,

@santosfc of our king @pele. TMJ 👊🏾🙏🏾

@simbasctanzania becoming global 🇹🇿”

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *