Posted By Posted On

Bruno Fernandes amehusika moja kwa moja katika nusu ya magoli ya Manchester United Katika Ligi kuu ya England toka asajiliwe, B…

Bruno Fernandes amehusika moja kwa moja katika nusu ya magoli ya Manchester United Katika Ligi kuu ya England toka asajiliwe, Bruno amefunga jumla ya magoli 17 na kutoa assists 12 toka ameanza kuchezea Manchester United Mechi yake kwanza February mwaka huu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *