Posted By Posted On

CAS YAIAMURU YANGA KUMLIPA MAMILIONI TAMBWE FIFA kupitia CAS imeiamuru Yanga kumlipa Tambwe Dola 20,000 (Tsh 46.4 milioni) Ya…

CAS YAIAMURU YANGA KUMLIPA MAMILIONI TAMBWE

FIFA kupitia CAS imeiamuru Yanga kumlipa Tambwe Dola 20,000 (Tsh 46.4 milioni)

Yanga imetakiwa kumlipa Tambwe pesa hizo ambazo ni deni la ada ya usajili na mishahara ya miezi mitatu ndani ya siku 45 tangu hukumu hiyo itolewe Disemba 1, 2020.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *