Posted By Posted On

Chama cha soka cha Uganda (FUFA) kimemfuta kazi kambini aliyekuwa kocha wa magokipa wa timu ya taifa ya Uganda, Fred Kajoba kabl…

Chama cha soka cha Uganda (FUFA) kimemfuta kazi kambini aliyekuwa kocha wa magokipa wa timu ya taifa ya Uganda, Fred Kajoba kabla ya safari ya kuelekea Cameroon kwenye mashindano ya CHAN 2020 baada ya kukaidi masharti ya kujikinga na corona kwa kuelekea kwenye maombi ya Krismasi bila idhini ya Uongozi.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *