Posted By Posted On

Eng Hersi Said Katika Dirisha hili dogo tutasajili Mchezaji ambae hatakuja kukaa benchi tunataka tusajili Mchezaji ambaye atak…

Eng Hersi Said

Katika Dirisha hili dogo tutasajili Mchezaji ambae hatakuja kukaa benchi tunataka tusajili Mchezaji ambaye atakua zaidi ya wachezaji ambao Wapo Yanga SC

Wananchi Mmemskia Eng @caamil_88
Mjiandae kwenda kumpokea Mwamba Mwingine Airport 😄

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *