Posted By Posted On

Jana usiku nyota wa Manchester city Raheem Sterling alikwenda hotelini kununua chakula chake cha usiku, baada tu kutoka hotel…

Jana usiku nyota wa Manchester city Raheem Sterling alikwenda hotelini kununua chakula chake cha usiku, baada tu kutoka hotelini aliwaona wakimama wawili wasio na makazi wakilandalanda maeneo hayo.

Sterling alismama na kuwanunulia chakula cha kutosh akakiweka Kwenye mifuko miwili tofauti na kumpatia,

Nyota huyo aliwauliza wakimama hao Kama anaweza kuwanunulia vyakula vingine vya ziada kuliko kuwapa pesa kwani akiwapa pesa watakwenda kununulia madawa ya kulevya na kununulia pombe

Raheem alilipa pesa kwa muhudumu na kuagiza wamama hao kuandaliwa vyakula vingine vya ziada

Wamama hao walimshukuru sana Sterling na kumwambia hawajawahi kukutana na mtu mstaarabu kama yeye.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *