Posted By Posted On

JE WAJUA? Timu ya mwisho kuifunga Yanga kwenye ligi kuu Tanzania Bara ni KMC. Tarehe 12/03/2020 ilikuwa mara ya mwisho Yanga…

JE WAJUA?

Timu ya mwisho kuifunga Yanga kwenye ligi kuu Tanzania Bara ni KMC.

Tarehe 12/03/2020 ilikuwa mara ya mwisho Yanga kufungwa kwenye ligi kuu Tanzania Bara.

Baada ya hapo Yanga imecheza;

🏟️ Mechi: 29
✔️ Ushindi: Mechi 18
🤝 Sare: Mechi 11
❌ Kupoteza: 0

Timu ya wananchi haijapoteza mechi ya VPL tangu mwezi March.

Je nani kumfunga paka kengere?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *