Posted By Posted On

John Guidetti 🗣: “Nilikwenda Kenya nikiwa na miaka 3, Baba yangu alikuwa ni Mwalimu anafundisha nchini Kenya, hakuna chaku…

John Guidetti 🗣:

“Nilikwenda Kenya nikiwa na miaka 3, Baba yangu alikuwa ni Mwalimu anafundisha nchini Kenya, hakuna chakula, chakula kilikuwa kinapatikana kwa taabu sana, kulikuwa hakuna mavazi lakini kila siku tulikuwa na furaha, tunacheka na kufurahia Maisha, Wale watu walikuwa wanashukuru kwa kila kidogo walichokuwa walkikipata, nawapenda sana wale watu”

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *