Posted By Posted On

Kama Philippe Coutinho atacheza mechi 12 zijazo atakuwa amefikisha Mechi 100 ambazo ameichezea Barcelona hivyo Barca watatakiw…

Kama Philippe Coutinho atacheza mechi 12 zijazo atakuwa amefikisha Mechi 100 ambazo ameichezea Barcelona hivyo Barca watatakiwa kuilipa Liverpool FC kiasi Kingine cha pesa €20millioni hiyo ni kwa mujibu wa makubaliano yaliyopo katika mkataba wa mauziano ya mchezaji huyo kati ya Liverpool na Barcelona

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *