Posted By Posted On

Kocha mkuu wa klabu ya AlAhly Pitso Mosimane amemwambia Rais wa klabu Mahmoud Al-Khatib (Bibo) kwamba Gaston Sirino (29) 🇺🇾 ndi…

Kocha mkuu wa klabu ya AlAhly Pitso Mosimane amemwambia Rais wa klabu Mahmoud Al-Khatib (Bibo) kwamba Gaston Sirino (29) 🇺🇾 ndiye kipaumbele chake cha kwanza katika dirisha hili la uhamisho

Mabingwa hao wa klabu bingwa barani Africa wako tayari kulipa Dola za Kimarekani milioni 3 ambazo ni sawa na bilioni 6.957 kwa Mamelodi Sundowns ili kukamilisha usajili wa Mchezaji huyo .

Takwimu za Sirino akiwa na Mamelodi Sundowns
Mechi 1️⃣0️⃣0️⃣
Magoli 2️⃣4️⃣
Assists 2️⃣9️⃣
.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *