Posted By Posted On

Kocha mkuu wa klabu ya AlAhly Pitso Mosimane amemwambia Rais wa klabu Mahmoud Al-Khatib (Bibo) kwamba Gaston Sirino (29) 🇺🇾 ndi…

Kocha mkuu wa klabu ya AlAhly Pitso Mosimane amemwambia Rais wa klabu Mahmoud Al-Khatib (Bibo) kwamba Gaston Sirino (29) 🇺🇾 ndiye kipaumbele chake cha kwanza katika dirisha hili la uhamisho

Mabingwa wa Afrika sasa wako tayari kulipa Dola za Kimarekani milioni 3 kwa Mamelodi Sundowns kukamilisha usajili wa Mchezaji huyo .

Wazee wa kuvunja Kibubu wanamtaka Mwamba kwa Hela ndefu Sana 😄

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *