Posted By Posted On

Kocha wa klabu ya Al Ahly SC ya Misri Pitso Mosimane amemwambia rais wa klabu hiyo, Mahmoud Al Khatib (Bibo) kuwa kiungo, Gaston…

Kocha wa klabu ya Al Ahly SC ya Misri Pitso Mosimane amemwambia rais wa klabu hiyo, Mahmoud Al Khatib (Bibo) kuwa kiungo, Gaston Sirino (29) raia wa Uruguay ndiye chaguo lake katika kipindi hiki cha usajili.

Sirino akiwa na Mamelodi Sundowns amecheza mechi 100 akifunga mabao 24 na Assists 29 na imeelezwa kuwa Rais huyo yupo tayari kutoa kiasi cha $ 3,000,000 sawa na bilioni 6.957 kwa pesa za kitanzania ili kumsajili nyota huyo ambapo ataanza mazungumzo na klabu yake ya Mamelodi Sundowns mara baada ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya kumalizika.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *