Posted By Posted On

Mashindano ya kikapu kwa watu wenye ulemavu yemefanyika leo jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Don Bosco. Jamii nchini ime…

Mashindano ya kikapu kwa watu wenye ulemavu yemefanyika leo jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Don Bosco.

Jamii nchini imeaswa kuwapa nafasi watu wenye ulemavu kushiriki michezo mbalimbali kwa lengo 

Baadhi ya wazazi na walezi wamekuwa wakiwaficha na kuwanyima fursa watu wenye ulemavu wa viungo kushiriki shughuli mbali mbali na michezo wakiamini hawawezi.

Fuatilia Youtube KITENGE TV kuona matukio mbalimbali ya mashindano haya.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *