Posted By Posted On

Mazungumzo ya kuongeza mkataba kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Khama Billiat na Klabu yake ya Kaizer chiefyamekwam…

Mazungumzo ya kuongeza mkataba kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Khama Billiat na Klabu yake ya Kaizer chiefyamekwama, hivyo kuanzia January nyota huyo ataruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu yoyote itakayokuwa inahitaji huduma ya mshambuliaji huyo.

Wakati mazungumzo kati ya Khama na Kaizer Chief yanaonekana kukwama, tayari miamba ya soka barani Afrika, vilabu pyramids na Zamalek vyote vya nchini Misri vimeomyesha nia ya kuhitaji saini ya Mshambuliaji

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *