Posted By Posted On

Mechi ya Chelsea vs Charlton iliyochezwa siku ya Boxing Day mwaka 1937 ilisimamishwa dakika ya 60 kwasababu ukungu ulitanda uwa…

Mechi ya Chelsea vs Charlton iliyochezwa siku ya Boxing Day mwaka 1937 ilisimamishwa dakika ya 60 kwasababu ukungu ulitanda uwanjani.

Kipa wa Charlton alibaki uwanjani zaid ya dakika 20 bila kujua kama mchezo umesimamishwa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *