Posted By Posted On

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amefikisha magoli 644 aliyoyafunga akiwa Katika klabu ya Barcelona, Messi amekuwa ndiye …

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amefikisha magoli 644 aliyoyafunga akiwa Katika klabu ya Barcelona, Messi amekuwa ndiye Mfungaji bora Katika wachezaji waliofunga Magoli mengi wakiwa na Klabu moja, Messi amevunja rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na gwiji wa soka Abeid pale mwenye magoli 643

Hakuna mchezaji mwingine aliyefunga idadi hiyo ya magoli akicheza katika klabu moja

Mgawanyo wa magoli jinsi aliyoyafunga

Mguu wa kushoto➡️ Magoli 531

Mguu wa kulia➡️Magoli 87

Kichwa➡️Magoli 23

Paja➡️goli 1

Kifua ➡️ Goli 1

Mkono wa kushoto➡️ goli 1

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *