Posted By Posted On

MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amefunguka kuwa Yanga kuendelea kung’ang’ania suala la Morrison kwenye …

MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amefunguka kuwa Yanga kuendelea kung’ang’ania suala la Morrison kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ni sawa na kupoteza muda kwani hakuna chochote ambacho watapata kwenye kesi hiyo.

Rage alikwenda mbali kwa kusema kuwa hakuna sheria yoyote inayosema mshitaki na mshitakiwa wote wanatakiwa kulipia fedha ili kesi yao iweze kusikilizwa na CAS kama ambavyo taarifa ya Yanga ilivyosema wao na Morrison wanatakiwa kuchangia fedha za Kifaransa ‘Franc’ 24,000 kwa maana ya kila mmoja kuchangia Franc 12,000 (zaidi ya Sh milioni 5).

Nikwambie kuwa kesi zote za CAS zitasikilizwa Januari 12, chukua maneno yangu kesi zote zilizopo CAS zitasikilizwa na hakutakuwa na kesi ya Morrison na Yanga,” alisema Rage.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *