Posted By Posted On

Ni miaka 33 tangu Arsenal wapoteze mechi katika siku ya Boxing day (26.12) katika uwanja wake wa nyumbani. Mara ya mwisho ilikua…

Ni miaka 33 tangu Arsenal wapoteze mechi katika siku ya Boxing day (26.12) katika uwanja wake wa nyumbani. Mara ya mwisho ilikua mwaka 1987.
.
Leo Arsenal yenye wakati mgumu zaidi inacheza dhidi ya Chelsea.

Watatoboa au watavunja rekodi yao..?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *