Posted By Posted On

Photos from SokaPlace’s post

Kutoka @yangasc

Katika kuendeleza Utamaduni na Desturi ya timu ya #wananchi Jana Klabu hiyo imesherekea sikukuu ya Krismasi katika kituo cha kulelea watoto yatima pamoja na hospitali ya Mbozi mkoani Songwe.

Hii ndo tofauti ya #timuyawananchi na zingine. 💚💛💪🏾

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *