Posted By Posted On

Photos from VIWANJANI LEO’s post

Jana siku klabu ya Yanga Klabu ya yanga ilisherekea sikukuu ya Krismasi katika kituo cha kulelea watoto yatima pamoja na hospitali ya Mbozi mkoani Songwe, Wachezaji wa Yanga, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi walitoa zawadi mbalimbali katika kituo hicho.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *