Posted By Posted On

Shabiki wa Yanga SC @madeeali Ameandika haya “Basi bwana pale Mbeya nikakutana na wananchi @yangasc wakiongozwa na Eng @caam…

Shabiki wa Yanga SC @madeeali
Ameandika haya

“Basi bwana pale Mbeya nikakutana na wananchi @yangasc wakiongozwa na Eng @caamil_88 tukasherehekea namna tulivomaliza mzunguko wakwanza bila kufungwa.. wachezaji wamenihakikishia na huu mzunguko wapili tunamaliza bila kufungwa na kubeba ndoo (YANGA BINGWA)na tunaanzia Sumbawanga kule alipochapwa mdogo wetu. Tunaenda kulipa za kisasi (YANGA BINGWA)”

Unakubaliana na Madee kuwa Yanga SC atabeba ubingwa Msimu huu ?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *