Posted By Posted On

Wakati kampuni ya bia ya Budweiser walipokuja na wazo la kampeni ya kutoa chupa za bia kwa magolipa waliowahi kufungwa na Mess…

Wakati kampuni ya bia ya Budweiser walipokuja na wazo la kampeni ya kutoa chupa za bia kwa magolipa waliowahi kufungwa na Messi

Messi aliwambia kuwa kuna magolipa kuna baadhi ya makipa huwa hawapendi pombe, (kilevi) hivyo Messi alipendekeza ili kutowakwaza baadhi ya magolikipa wasiopenda pombe, basi kampuni hiyo iandae hupa maalumu amabazo sio zenye kilevi ili kuwapatia wale magolikipa ambao wao hawafurahi pombe

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *