Posted By Posted On

Y A N G A – H A K U N A – S T R I K ER πŸ™ƒ – Mchambuzi wa michezo kutoka Azam Tv Gift Macha amesema “Hakuna striker wa Yanga aliy…

Y A N G A – H A K U N A – S T R I K ER πŸ™ƒ

– Mchambuzi wa michezo kutoka Azam Tv Gift Macha amesema “Hakuna striker wa Yanga aliyefanya vizuri mpaka sasa” .. !

πŸ—£οΈ “Mashabiki wa Yanga tuelewane kitu kimoja, Yanga inafanya vizuri kama timu, ila hakuna striker wa Yanga aliyefanya vizuri mpaka sasa”

“Hatuwezi kukaa hapa kumsifu striker eti kwa kufunga (⚽ 4) katika mechi (17) … Hawezi kuwa striker wa maana huyo”

“Yaani Prince Dube wa Azam fc ameumia mwezi na nusu sasa na hakuna striker wa Yanga aliyemfikia kwa magoli.. Si Yaccouba Sogne, Michael Sarpong wala Ditram Nchimbi aliyefanya vizuri”

“Bahati tu timu inashinda mechi… vinginevyo hawa wote wangeachwa dirisha dogo”

πŸ” Gift Macha

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *