
CAF CHAMPIONS LEAGUE GROUP A FT| Simba SC๐น๐ฟ 1-0 ๐พ๐ชAl Ahly SC 30’|โฝ Luis Miquissone Kwa Mkapa hatoki mtu ๐ฅ๐ฅ ๐ฏ Simba SC imekuw…
CAF CHAMPIONS LEAGUE GROUP A
FT| Simba SC๐น๐ฟ 1-0 ๐พ๐ชAl Ahly SC
30’|โฝ Luis Miquissone
Kwa Mkapa hatoki mtu ๐ฅ๐ฅ
๐ฏ Simba SC imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kumfunga Pitso Mosimane tangu atangazwe kuwa Kocha mkuu wa Al Ahly.
๐ฏ Tangu Pitso Mosimane atangazwe kuwa Kocha wa Al Ahly ni Bayern Munich na Simba SC wameifunga Al Ahly.
Simba is Next Level ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐
FT| El Merreikh SC๐ธ๐ฉ 1-4 ๐จ๐ฉAs Vita
#TotalCAFCL
#kitengeTVupdates
,
Comments (0)