
Kocha anaambiwa Timu yake ina wachezaji wenye vipaji ila hawana mbinu uwanjani, kila mtu anacheza anavyotaka, hakuna mipango ya …
Kocha anaambiwa Timu yake ina wachezaji wenye vipaji ila hawana mbinu uwanjani, kila mtu anacheza anavyotaka, hakuna mipango ya mwalimu inayoonekana, Badala ajibu kama kocha anasema ROBO TATU YA WATANZANIA WANA ROHO MBAYA
Baadae akiletwa kocha Mzungu hapa wanasema uzalendo hamna
,
Comments (0)