Posted By Posted On

Muda mfupi tu, mara baada ya Al-Ahly kupoteza mchezo wao wapili kwenye kundi A, timu nzima ya Al-Ahly tayari imeanza safari ya k…

Muda mfupi tu, mara baada ya Al-Ahly kupoteza mchezo wao wapili kwenye kundi A, timu nzima ya Al-Ahly tayari imeanza safari ya kurejea nyumbani nchini misri baada ya kipigo.

Waarabu wamesema “Zege Hailali” haswaaaaaa…!!😅🙌

#KitengeUpdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *