
Photos from Sport One Tanzania’s post
Baada ya kikao cha maandalizi ya mchezo siku ya jana, Mtendaji Mkuu wa Simba Sc, Barbara Gonzalez na Mkuu wa Msafara na Mjumbe wa Bodi ya Al Ahly, Mohamed El Damaty kila mmoja amemkabidhi zawadi mwenzake kama sehemu ya kudumisha urafiki wa klabu hizi kubwa barani Afrika.
,
Comments (0)