
“Simba watahitaji ‘game plan’ ya kurudi nyuma sana wakati ambao Al-Ahly wanakuja kwao kushambulia kwa sababu Al-Ahly wanatambuli…
“Simba watahitaji ‘game plan’ ya kurudi nyuma sana wakati ambao Al-Ahly wanakuja kwao kushambulia kwa sababu Al-Ahly wanatambulika kwa kasi sana wanaposhambulia, watakapoupata mpira Simba ndipo mbinu za ziada za kocha Gomez zitahitajika kuwafungua wapinzani na kupata matokeo” -Abissay Stephen.
,
Comments (0)