
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema serikali imeweka mpango wa awamu 4 katika kurejesha mashabiki kwenye viwanja vya …
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema serikali imeweka mpango wa awamu 4 katika kurejesha mashabiki kwenye viwanja vya michezo.
Baadhi ya michezo watarejea Machi 29, sehemu za mazoezi ya umma Aprili 12, fainali ya Carabao Cup (Man City V Tottenham) Aprili 15 Wembley na fainali ya FA Cup Wembley, Mei 15 wataingia asilimia 25.
Kwenye Premier League kuanzia Mei 17 wataingia asilimia 25 pia. Premier League inatarajiwa kumalizika Mei 23.
,
Comments (0)