Posted By Posted On

-Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema kamwe hawezi kuiomba radhi klabu ya Yanga kwa kila kinachodaiwa kuichafua Br…

-Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema kamwe hawezi kuiomba radhi klabu ya Yanga kwa kila kinachodaiwa kuichafua Brand ya Yanga. Manara alipewa siku 14 na klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Fredrick Lugano Mwakalebela kuomba radhi kwa kuharibu brand ya Yanga tofauti na hapo atapelekwa mahakamani.

-Manara amedai kuwa wao wameanza yeye atamaliza kwani ana kesi sita juu ya viongozi wa Yanga (Mwakalebela, Bumbuli na nk) hivyo wakienda mahakamani ndio itakuwa vizuri kwani suala hilo lilishakabidhiwa kwa mwanasheria wa klabu ya Simba muda wowote kuanzia sasa anaweza kulitolea ufafanuzi. Afisa huyo amesema hata angepewa siku milioni hawezi kuiomba radhi Yanga kwa masuala ya utani.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *