Posted By Posted On

Ally Mayayi mchambuzi wa soka amesema sitashangaa kuona Simba wakimruhusu winga wao Luis Miquissone kutafuta maisha nje ya klab…

Ally Mayayi mchambuzi wa soka amesema sitashangaa kuona Simba wakimruhusu winga wao Luis Miquissone kutafuta maisha nje ya klabu yao.

Endapo kuna klabu itamtaka kwakuwa najua thamani yake lazima itakuwa kubwa kwakuwa yupo kwenye kiwango kizuri na hata umri wake ni mzuri sana na anauwezo wa kucheza zaidi ya miaka 10 mbele”.- Mayayi

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *