Posted By Posted On

Timeline Photos

YACOUBA YUKO FITI SASA
:
Daktari wa Yanga Nahumu Muganda ameesema

“Yacouba amepona na sasa yupo fiti kuanza kuichezea Yanga katika michezo ijayo ya ligi na mashindano mengine tunayoshiriki katika msimu huu.

“Jumatatu alianza mazoezi ya pamoja na timu, mara baada ya timu kurejea kambini baada ya mapumziko ya siku moja waliyopewa wachezaji.
:
“Tulikuwa na majeruhi saba pamoja na Mukoko (Tonombe) ambaye yeye aliumia mechi dhidi ya Mtibwa Sugar, Kabwili na Ninja ambao wenyewe wamepona wamerejea uwanjani, hivyo wamebakia watatu pekee ambao ni Said Ntibazonkiza, Dickson Job na Balama Mapinduzi,” alisema Muganda.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *