Posted By Posted On

πŸ™Œ Rangers yashinda 9-5 kwa aggregate vs. Royal Antwerp ndio Idadi kubwa ya mabao katika Mechi ya mikondo miwili katika Kombe la …

πŸ™Œ Rangers yashinda 9-5 kwa aggregate vs. Royal Antwerp ndio Idadi kubwa ya mabao katika Mechi ya mikondo miwili katika Kombe la UEFA / Europa League tangu Helsingborgs 8-6 Heerenveen katika raundi ya kwanza ya Mashindano Msimu wa 2007-08.

– Vijana Hawa wa Steven Gerrard, wamefunga mabao 5+ katika mechi ya mtoano kwenye mashindano makubwa ya Ulaya kwa mara ya kwanza tangu ushindi wa 6-0 dhidi ya Valletta FC mnamo Oktoba 1990 kwenye Kombe la Ulaya.
#Rangers #StevenGerrard #EuropaLeague

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *