Posted By Posted On

-Kiungo wa klabu ya Yanga Mukoko Tonombe ameitwa timu ya Taifa ya DR Congo kwa ajili ya michezo ya kufuzu kucheza fainali za mat…

-Kiungo wa klabu ya Yanga Mukoko Tonombe ameitwa timu ya Taifa ya DR Congo kwa ajili ya michezo ya kufuzu kucheza fainali za mataifa Afrika hii ni kwa mara ya kwanza kwa kiungo huyo kuitwa timu ya Taifa tangu ajiunge na klabu ya Yanga akitokea klabu ya AS Vita ya DR Congo.
#sportskitaa #sportskitaatv

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *