Posted By Posted On

Mafanikio huambatana na mengi. Hukuletea marafiki usio watarajia. Wamo wakupita na kupata (maslahi). Lakini pia hukuletea maadui…

Mafanikio huambatana na mengi. Hukuletea marafiki usio watarajia. Wamo wakupita na kupata (maslahi). Lakini pia hukuletea maadui usio tegemea, wakiwemo baadhi ya marafiki na ndugu. Busara ukawa mkimya katika nyendo zako ili upate salama katika mikono ya binaadam wenzako.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *