Posted By Posted On

Photos from SokaPlace’s post

– Timu ya taifa ya Uganda U20 imefanikiwa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa Wachezaji waliochini ya Miaka 20 Ni Baada ya kutinga Nusu Fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana waliochini ya Umri huo Huko Mauritania.

– Uganda yafuzu kwa Mikwaju ya penati 4-2 Baada ya Kutoka Suluhu ndani ya Dakika 120; Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ inaungana Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ Nusu Fainali pia Wawakilishi wawili Kati ya Wanne wa Afrika Huko Indonesia Katika Kombe la Dunia…Ghana yaitungua Cameroon pia kwa Penati 5-3 Baada ya Sare ya 1-1 Dakika 120.

– Robo Fainali Mbili nyingine kupigwa hii leo, watakaofuzu pia watajikatia tiketi ya kucheza Kombe la Dunia U20… Tunisia Dhidi ya Muarabu mwenzie, Morocco huku Vijana wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Dhidi ya Gambia.
#AFCONU20 #TotalAFCONU20 #WorldCupU20
@Harunlugoyah

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *