Posted By Posted On

Timeline Photos

-Ukurasa wa Soccerzela wa Afrika kusini🇿🇦 umeripoti kuwa vilabu vya Mamelodi Sundowns 🇿🇦 ya Afrika Kusini na Al Ahly🇪🇬 ya Misri zinapambana kuitafuta saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Msumbuji 🇲🇿 na klabu ya Simba 🇦🇹 Luis Miquissone 🇲🇿 ambaye anatajwa kuwa na thamani ya dau si chini ya dola milioni 1 Zaidi ya bilioni 2.3 za kitanzania..

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *