Posted By Posted On

Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Uganda U-20 kimefanikiwa kuingia fainali ya AFCON U-20 huko Mauritania Baada ya ya Kuifunga bila hur…

Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Uganda U-20 kimefanikiwa kuingia fainali ya AFCON U-20 huko Mauritania Baada ya ya Kuifunga bila huruma Tunisia Goli Nne kwa Moja (4-1).

Uganda sasa watacheza fainali na Ghana aliye mchapa Gambia Goli Moja bila (1-0)

Hongera Sana Majirani zetu Uganda

#sokaplaceupdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *