Posted By Posted On

LIVERPOOL YAZINDUKA, YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 BRAMALL LANE

MABINGWA watetezi, Liverpool wamezinduka na kupata ushindi wa 2-0 dhidi ya Sheffield United katika Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Bramall Lane, mabao ya Curtis Jones dakika ya 48 na Kean Bryan aliyejifunga dakika ya 65.
Kwa ushindi huo, Liverpool inapanda nafasi ya sita ikifikisha pointi 43, sasa inazidiwa pointi moja na Chelsea baada ya wote kucheza mechi 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *