Posted By Posted On

Uwanjani Simba sasa wanaamua wanachotaka. Kuna muda wanacheza pira Kubwa kuna muda wanaamua tu kupumzika wanajipigia pasi za nyu…

Uwanjani Simba sasa wanaamua wanachotaka. Kuna muda wanacheza pira Kubwa kuna muda wanaamua tu kupumzika wanajipigia pasi za nyuma

Shida ni kwamba huwezi kujua sasa wanawaza nini, wakati unadhani wamepumzika ghafla wanaondoka na wewe

Nadhani kuichambua Mechi ya Simba na JKT kiufundi na maneno mengi ni kuwaonea Watu tu, Tusubiri Yale mamechi makubwa ndio tujadili

Ila kikubwa cha kusema ni kuwa Simba now wao ndio wanaamua mpinzani achezeje na afungweje

Tumuombee Manula apone haraka maana nje ya kuwa ni Kipa wa Simba inayowakilisha taifa ila pia ni Kipa namba moja wa Timu ya Taifa

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *