Posted By Posted On

Shirikisho la soka la Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ (FUFA) limemtaka kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uganda Johnathan McKintry kuanzia tarehe 2 mp…

Shirikisho la soka la Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ (FUFA) limemtaka kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uganda Johnathan McKintry kuanzia tarehe 2 mpaka tarehe 31 2021 awe amejiuzuru nafasi yake ya ukocha

Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes inatarajia kuwavaa Burkina Faso πŸ‡§πŸ‡« na Malawi πŸ‡²πŸ‡Ό katika mechi za kueania kufuzu michuano ya Afcon

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *