Posted By Posted On

B A R B A R A – G O N Z A L E Z Amesema muda wa mchezo umebadilishwa. πŸ—£οΈ “Tupo njiani kuelekea Kartoum Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© kwa ajili ya m…

B A R B A R A – G O N Z A L E Z
Amesema muda wa mchezo umebadilishwa.

πŸ—£οΈ “Tupo njiani kuelekea Kartoum Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© kwa ajili ya mchezo wa klabu buingwa Africa dhidi ya Al-Merreikh πŸ‡ΈπŸ‡©”

“Muda wa mchezo umebadilika
🏟️ Al-Hilal stadium Sudan πŸ‡ΈπŸ‡©
πŸ“… Jumamosi 6, March 2021
⏰ Saa (09) kamili alasili πŸ‡ΈπŸ‡© kwa masaa ya Sudani
⏰ Saa (10) kamili jioni kwa masaa ya Africa Mashariki
πŸ” Barbara Gonzalez CEO simba sc

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *