Posted By Posted On

Mlinda mlango wa zamani wa Simba na timu ya Taifa ya Ghana (Black Stars) Daniel Agyei amekamilisha uhamisho wa Kujiunga na kla…

Mlinda mlango wa zamani wa Simba na timu ya Taifa ya Ghana (Black Stars) Daniel Agyei amekamilisha uhamisho wa Kujiunga na klabu ya Wolaita Dicha SC ya Ethiopia kwa makubaliano ya muda mfupi.

#sokaplaceupdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *