Posted By Posted On

Simba SC Tanzania wamejipanga sana, kuhakikisha wanakwepa mtego wowote wa hujumiwa na wenyeji wao, klabu ya Simba imesafiri na m…

Simba SC Tanzania wamejipanga sana, kuhakikisha wanakwepa mtego wowote wa hujumiwa na wenyeji wao, klabu ya Simba imesafiri na mpishi wa klabu pamoja na baadhi vyakula na viambaupishi muhimu ambavyo mpishi wa klabu atatumia kuandalia chakula cha benchi la ufu bindi na wachezaji kwa kipindi chote ambacho Simba watakuwa nchini Sudani.

Pichani ni mpishi wa klabu ya Simba akiwa na vitendea kazi vyake na baadhi ya viambaupishi.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *