Posted By Posted On

“Itakuwa mechi ngumu, naijua vizuri Al Merrikh kwahiyo tunawaheshimu lakini tupo tayari kupambana na kuzuia kama tulivyofanya kw…

“Itakuwa mechi ngumu, naijua vizuri Al Merrikh kwahiyo tunawaheshimu lakini tupo tayari kupambana na kuzuia kama tulivyofanya kwa AS Vita Club na kucheza mpira wetu kama tulivyofanya kwa Al Ahly.”- Kocha wa Simba Sc, Didier Gomes akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho dhidi ya Sl Merreikh.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *